Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
Hapo sasa![]()
![]()
![]()
Asa wanatoa wapi mimba???
Hapo sasa![]()
![]()
![]()
Asa wanatoa wapi mimba???
Wanajua kuthaminisha toka wadogo![]()
Hawa watoto tunaozaa siku hizi daaah...
Machalii wa digitaliIla havumi
Kifupi dogo ametishaa mbayaaDogo anafanya upembuzi yakinifu..![]()
![]()
![]()
AiseeeeUnanisaidia kuhema..

Walileta wachezaji wa kuokoteza tu sio mapro yaani Vifaru tupuDuuu hiyo bahati haitakuja kujirudia
Anatafuta mzigo mkubwaKifupi dogo ametishaa mbayaa
Kuna haja ya kureview ile sheria ya kuota viungo vya uzazi kabla ya umri wa kuzaa ili kutokomeza matumizi yasiyo ya lazima ya viungo tajwa kwenye matendo pendwa kabla ya umri ulioelekezwa kisheria!Wanajua kuthaminisha toka wadogo
Aiseeee![]()
eehInawezekana mama na baba walifanya ile kitu mpaka siku anazaliwa!Kifupi dogo ametishaa mbayaa
Ukipost si huwa unaandika maneno??? Sasa hayo maneno tutayafanyia upembuzi yakinifu kwasababu hutapost nafasi mbili mbili kwa pamoja kama mwanzoSijaelewa kipengele b
Tuwe pamoja kwa jioni hii.I hope mko poa
Nawatakia mchana mwema woote
Hahahahahahahahahahahahaaa
Nimepita kuwasalimiaAaah
Karbu sanaa umejitahid kupita uku leo
Mpaka rahaMachalii wa digitali
Basi ndio maanaWalileta wachezaji wa kuokoteza tu sio mapro yaani Vifaru tupu
Hivyo hatuna cha kujisifu
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Acha tu wafaidiKuna haja ya kureview ile sheria ya kuota viungo vya uzazi kabla ya umri wa kuzaa ili kutokomeza matumizi yasiyo ya lazima ya viungo tajwa kwenye matendo pendwa kabla ya umri ulioelekezwa kisheria!
Yeap yeap we c ndo unajuaga kunielekza apo nimekusomaUkipost si huwa unaandika maneno??? Sasa hayo maneno tutayafanyia upembuzi yakinifu kwasababu hutapost nafasi mbili mbili kwa pamoja kama mwanzo
Umeelewa sasa??
Ha ha ha sidhani.....![]()
eeh
Inawezekana mama na baba walifanya ile kitu mpaka siku anazaliwa!
OkNimepita kuwasalimia