Makapuku Forum

Makapuku Forum

Acha tu wafaidi
Siku moja najitokea zangu Kinondoni studio nikipita service road kuelekea Mkwajuni, nikaamua kula winga ya kushoto kwenda kutokea bara bara ya hananasifu inayotoka Mkwajuni...hee mitaa ya kati hamadi nakutana na kabinti kati ya miaka mitatu na minne kyupi mkononi na kavulana ka miaka kama miwili hakana kaptula huku binti anatetema kwa woga...nauliza mlikuwa mnafanya nini...kabinti ''tulikuwa tunafanya tabia mbaya'' Hikli kizazi wee acha tu!
 
f1061b2f2605dfb71793009393903e9a.jpg

Hawa watoto tunaozaa siku hizi daaah...
Anaangalia viatu tu
 
Siku moja najitokea zangu Kinondoni studio nikipita service road kuelekea Mkwajuni, nikaamua kula winga ya kushoto kwenda kutokea bara bara ya hananasifu inayotoka Mkwajuni...hee mitaa ya kati hamadi nakutana na kabinti kati ya miaka mitatu na minne kyupi mkononi na kavulana ka miaka kama miwili hakana kaptula huku binti anatetema kwa woga...nauliza mlikuwa mnafanya nini...kabinti ''tulikuwa tunafanya tabia mbaya'' Hikli kizazi wee acha tu!
Hali inatisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom