amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi????![]()
Ushasema "mimba" maana yake wanajamiana
................
Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi????![]()
Ushasema "mimba" maana yake wanajamiana
................
Kuna wanyama ambao hakuna dume wala jike yaani mnavisiana anayemwahi mwenzake anamwinamisha but kuhusu hao fisi sina sina uhakika km ni kweli nahisi ni fix tuMimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi????
SanaaaaaHahahaaa.... Ubishi mzuri aseee.
Sasa swala zima la uzalishaji kwao liko vipi?Did you know..
Hivi unajua kuwa hakuna fisi wa kiume(dume)![]()
Wapo wa kike tu?
Ni shiiiidaDuuuuh kama tambara la mashine
Sie wa sitimbi wala hatuna shida...Leo mabus ya UDART ni machache sana,watu wanakaa vituoni dk45 na bus likija limejaa balaa
Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa darPungueni huko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
rudini makwenu
Dogo anasaminisha mzigo![]()
Njoo umchukue mwanao
Akili zake mbovu
![]()
![]()
![]()
.............
Wameisikia ila wataanzaanzaje Sasa kwa mfanoHii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar
Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar
Na kwako pia chiefI hope mko poa
Nawatakia mchana mwema woote
ThanksNa kwako pia chief