Mbona tutakimbia forum!!!....ina maana nikianza kuzoza na Lizzy watu wanapanic mkuu???....ndiioo maana kuna member aliniita Licongo!!!....duh maajabu!!!
Shemdarling nataka nikufuate ili nikulete kwangu ulale kwa usiku mmoja then kesho mapema nakurudisha. Tayari nimeshapata usafiri nilioletewa na kaka'angu Mshana Jr.