One LoveMkuu sumbai na jambilo, Bitoz hebu hii issue tuiweke pending coz tupo immotional, tukisha relax tui-forget na kisha kuipotezea turudi kama zamani.
Tusameheanea na kila mmoja ajifunze kwa kilichotokea.
Glass zinagongana kabatini sembuse sisi???
One love, together kama kawa!!!
Strong people forgive n forget
Acha zako
EnheeeeKwa kina Miss power
Asante sana kwa hiiNumber 1, Chandra Bahadur Dangi - 21.5 inches
Mnamo mwaka 2012 huyu ndo aliweka rekod kwenye kitabu cha genesis
Alizaliwa mwama 1939, ana ugonjwa wa premodial dwarfism, ambao una mfanya kila kitu kwenye mwili wake kuwa kifupi
(i mean kilaa kituu)
Na alipo ulizwa kama hakujua kuwa ni rekodi kwa miaka yote alisema kwakuwa yeye kazaliwa nepal vijijin asingweza kuwapata hao watu wa kumpima na ndugu zake wote hawajawahi kwemda shule so hawakujua kabsa mambo ya rekodi ya dunja
Na huyo ndio namba moja wa leo
Hehehehe De la Casa de la fumaAsanten sana kwa kuwa nami, nimezipata kwa shida sana top ten za leo kwan kuna mattzo ya kimtandao
Mpaka hapo kesho wakt kama huu
Ni mimi
Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Adioooous amigoooouw
Shukran mkuuNilikumiss pia kaka. Karibu.
Issue tuliimaliza muda mrefu ulioputa
Ndo maana sihangaiki nayo
.........
Sasa unamiliki gun au tunguri???
Kuwa makini sana hapo, utajikuta unageuzwa msukule
Sasa turudi pale uliposisitiza kuwa kila kitu ni kifupiMissed you sana mkongoo
Pamojaaa
Live long MAKAPUKU
LET LOVE LEADS US
Na kwako pia shemdarling.Usiku mwema wapendwa
Sasa unamiliki gun au tunguri???
Eeh
Na kweli mbona mim nakupenda na hata sijifichi
Tunguri naituliza kwa jina la Jesus
Namiliki gun ila kwa kuwa ww ni mkongo usha zoea gun tunguri itahusika
Sasa turudi pale uliposisitiza kuwa kila kitu ni kifupi