Makapuku Forum

Duuu kweli kuna watu wafupi
 
 
Mbona tutakimbia forum!!!....ina maana nikianza kuzoza na Lizzy watu wanapanic mkuu???....ndiioo maana kuna member aliniita Licongo!!!....duh maajabu!!!
Hakuna cha malalamiko huyu dogo anataka sifa tu, afungue forum yake, huu ni uzi tu. Na hapa tunatengenezea watu wengine pesa, ni ujinga kugombana shiit
 
Nini mbaya
 
Number 1, Chandra Bahadur Dangi - 21.5 inches


Mnamo mwaka 2012 huyu ndo aliweka rekod kwenye kitabu cha genesis
Alizaliwa mwama 1939, ana ugonjwa wa premodial dwarfism, ambao una mfanya kila kitu kwenye mwili wake kuwa kifupi
(i mean kilaa kituu)
Na alipo ulizwa kama hakujua kuwa ni rekodi kwa miaka yote alisema kwakuwa yeye kazaliwa nepal vijijin asingweza kuwapata hao watu wa kumpima na ndugu zake wote hawajawahi kwemda shule so hawakujua kabsa mambo ya rekodi ya dunja

Na huyo ndio namba moja wa leo
 
Toka 2009 yuko chekechea na hajui kusoma wala kuandika
 
Asante sana

Hapo kwenye mfupi kila kitu naona pana msisitizo zaid
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…