Number 3,Jyoti Amge - 24.7 inches
Amge alizaliwa mnamo mwaka1993 huko Nagpur, India ana ttzo linalo itwa achondroplasia
Yeye baada tuu ya kushereheka mwaka wake 1 wa birthday hakifamikiwa kukua tena zaod zaod alipungua, siku zote amekuwa akitaka kuwa muigizaji na ana ndoto ya kuchukua tuzo za Oscar zile za hollywood na amesema lazima zitimie(hayo na mwachia mwenyewe)
Pia kati ya watu wafupi huyu inaonekana ana akili kiswa sawa kwani kachaguliwa kujiunga na open university of India
Number 2, Junrey Balawing - 23.6 inches
Mnamo mwaka 2011 alipo fikisha miaka 18 alifanikiwa kueka rekodi ya kuwa mtu mfupi kuliko wote duniani, japo ilikaa kwa mwaka oja tuu,
Inasemekana ana uzoto wa takriban kilo 5 na nusu ana sadikika kuwa na ugonjwa wa endocrine- or birth-related defect. Kwa kuwa mifupa yake si migumu hawez kusimama mpaka ajishike pahala, hata hivo japo huhitaji msaada wa wazazi , akiwa nyumbani husaidia kulisha mifugo yao hasa kuku
Yeye ni wa ufilipino huko kwa kina Angelo, Yna na redburterfly