Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wifi katika ubora wako...Beibyyyy
Mi penda wewe sanaaaaaaaaaaaaa
Wifi katika ubora wako...Beibyyyy
Tupo kijiweni hapa wewe ndo unaadimika sana ndugu yangu..Kheri lakin?Asante kaka. Nakumiss sana.
Sijambo shikamoo mkubwa mzuriUjambo mtoto mzuri..

Hakika...afadhali alivyorudi!!
AsanteNashukuru Mungu mambo yameenda kwa asilimia 99 asilimia moja tumemwachia aliye juu..Pole na majukumu ya siku my dear..
Namshukuru Mungu niko salama. Niaje kwako!Njema kapuku..za kwako..
Hhahah Dada ndiyo maana nimekuambia nimekumiss mno...Ila nashukuru pia kwa nasaha zako..Na pia kwa busara za wifi yako amenisamehe kabisa kama nilivyo,,,Nampenda sana na nime-behave mno toka mida ile..Nipo kaka ake..
Hivi tatizo na wifi yangu liliisha?? Maana nilikuwa busy sikuwepo hapa siku yote hii
Salama kabisa kaka. Habari ya siku vipi?Tupo kijiweni hapa wewe ndo unaadimika sana ndugu yangu..Kheri lakin?
Mimi nina vinasaba na Hitler.Ndio. Najua we haupo German
Ni kweli Mamy nikutakie jioni iliyotukuka my dear ..Take care..Asante
Muda wa kupumzika umefika my
Marhabaaa..yuko wapi yule pacha wako..Sijambo shikamoo mkubwa mzuri![]()

Mpaka tujuuuuuTE kuiweka madarakaniTunaendelea kuisoma namba
Safi kabisa habari ya wewe?My Wii habari ya jioni
Mie ni poa sanaaaSafi kabisa habari ya wewe?
Upo??Kiporo kipo?![]()
That's why nawakubali....Wii yalishaisha
Hatutaki kuwapa faida watu wa nje
Niajez....
Timu yako haifiki popote usisahau hilo
Sikuhizi unaonekana kwa nadra ila hilo ulizingatie
Leo USA vs Mabingwa ArgentinaHivi bado uko Singida??