Mamy naanda trip tutakwenda mbugani kwa wk 1 naamini huko tutamaliza kila kitu...Love u forever..
Aiseee......Vile wajuaga wewe ndio kila kitu kwangu
Huyo binti weka pembeni tuendelee na maisha yetu bby
Love you Sana'a
Shemeji unapotea sana..Mkuu kwa heshima na taadhima nakuomba urudishe ile avatar yako ya mwanzo kabisa.
Ni nzuri.
Nipo shemeji.Shemeji unapotea sana..
Kwema brother.Ameeen mkuu wangu. Nitafanya hivvyo.
Vip waja Leo waondoka mwakani kwema???a
Mamy pesa na mali zote zatoka dunian ila Mume bora hutoka kwa Bwana...Na imeandikwa ole wake yule amwachae mume kwa ajili kutafuta mali na pesa...Iko kwenye Manuu 3:4-6
Acha kuwadanganya wenzako bana,hayo mautamu tunayopeana unajisahaulisha ee
PointTatizo unaharibu kaka....
Unaupaje mchepuko nafasi wakati mi nilithibitisha hapa kuwa kaka zangu hawachepuki
Keshapotea na unga huyoNdio maaana hujui.... Mkuu hivi unamjua chid Benz...
Yap.....bro.Kwema brother.
Mambo yamekaa vizuri kabisa.
Wakati yangu inazama ulinicheka, Hili jaribu ni lako pambana ushindePastor nategemea nione uhodari wako hapa katika kutengeneza ndoa hii...
Va le....
Naona umekaa kusubiria fursa tuu.... HahahhaahaPoint
Nimerudiana na mke wangu linamo hajui kazi ileHahahahahaha keshapigwa chini kumbe?
Pole...voda Nini!!Nawapenda sana makapuku wenzangu ila mtandao unaninyima raha ni EDGE kwa kwenda mbele ni usumbufu juu ya usumbufu
Dadake mie huyo
Huyo pasta anasubiri tuu umwache mkeo achangamke....ndio maaana anakuja anakimbiaPastor nategemea nione uhodari wako hapa katika kutengeneza ndoa hii...
Nashukuru kusikia uko poa shemeji kuwa na majukumu ndo kitu tunachoomba...Pambana ndugu yangu..Nipo shemeji.
Sema mambo yamekuwa mengi kidogo.
Natumai uko poa kabisa brother.
Naona huna nguvu unataka msaada wa kwa wengine
Asante Mkuu.Nashukuru kusikia uko poa shemeji kuwa na majukumu ndo kitu tunachoomba...Pambana ndugu yangu..