Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Huyu manuu akija kwako mtimueHaya msichana
Kila la kheri
Huyu manuu akija kwako mtimueHaya msichana
Kila la kheri
ASA unataka hata watoto wasimuone au???Huyu manuu akija kwako mtimue
Poa asante shem.Nawe pia shem
Asante sana Valentina.Nawe pia mkuu
Kwa ishu ya kuona watoto sawa ila biashara kati yenu hapanaASA unataka hata watoto wasimuone au???![]()
![]()
![]()
Yeye ni baba wa watoto wangu kama VP nawe mtotolee kamoja
Asa mbona huku ameita na kikao cha ndugu na anakukana kabisaaaaKwa ishu ya kuona watoto sawa ila biashara kati yenu hapana
Leo tutafanya kazi ya kupanda mbegu nimtolee mapacha kabisa
Anawazuga tu apo. Ila ukweli anaujua moyo wake amewekeza kwanguAsa mbona huku ameita na kikao cha ndugu na anakukana kabisaaaa
Vepe tenaaaa????
Haya binti we endelea na figisu zakoAnawazuga tu apo. Ila ukweli anaujua moyo wake amewekeza kwangu
Ooh sasa imekua kinyume chake. Sio kifo tena ni uhai umewatenganishaHaya binti we endelea na figisu zako
Ila mie na manuu kama tulivyoapa kifo kitatutenganisha
Usiishie aisee tuuAiseee......
Mkuu kwa heshima na taadhima nakuomba urudishe ile avatar yako ya mwanzo kabisa.Aiseee......
Mamy naanda trip tutakwenda mbugani kwa wk 1 naamini huko tutamaliza kila kitu...Love u forever..Shem ndugu yako Niko nae kila siku vile kaamua kuvunivunjia heshima
Nimenyanyua mikono juu
From now on nalea watoto tuuu,manuu muache azurureee akichoka atarud
Vile wajuaga wewe ndio kila kitu kwanguMamy naanda trip tutakwenda mbugani kwa wk 1 naamini huko tutamaliza kila kitu...Love u forever..

Poa sana kamanda ..kwemaa?Habari zenu Makapuku wenzangu
Love u so much my my...Sina na sintokuwa na yeyote ili hali wewe upo..Mtoto mzuri, Umeumbika vizuri, Mungu kakujalia na akili iliyoambatana na busara...Kwako sintosikia wala sintoona ...Nashukuru kwa kunielewa Mamy..Vile wajuaga wewe ndio kila kitu kwangu
Huyo binti weka pembeni tuendelee na maisha yetu bby
Love you Sana'a
![]()
![]()
![]()
Aisee...ukimwona mpenzi wako wa zamani anatoka na mwingine wala usipanic, chukulia poa sababu hata vitu tutupavyo jalalani huliwa na machizi/wehu
Huyo ni dada yangu... KabisaaUsiishie aisee tuu
Bado kidogo atahamia kwako
Ameeen mkuu wangu. Nitafanya hivvyo.Mkuu kwa heshima na taadhima nakuomba urudishe ile avatar yako ya mwanzo kabisa.
Ni nzuri.