Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
DuuuWatakukuza makalio....
DuuuWatakukuza makalio....
Hahhahahaah wacha mtumish aje, wapi shemeji yangu Patience123 leo mkuu..?.Mi Leo sisemi chochote nashangaa tuu
Aiseeee.....
Ohooo anajua wazi kuwa tu mabinamu na amaizingDadashemej kuwa makini jambilo anataka uwee free arushe ndoanoo
Be care
Umeona eeeDah atakuwa ameghafilika kwa kiwango kilichotukuka..
Ni kweli kwamba amefanikiwa kumrudisha Patience123 kwenye himaya yake? Nisikie kutoka kwako...Huyo pasta anasubiri tuu umwache mkeo achangamke....ndio maaana anakuja anakimbia
Pamoja sana mkuu wangu..Asante Mkuu.
Shem usikubali aende, biashara za kuachana ninauzoefu nao ni mbaya mnooo. Linamo kanitesa sana japo ni ndoa ya Siku chache nilikondaaa, anamdomo huyooo, hadi nimrudi kwa patience123 wangu kipenzi changu, kisura wangu, my darling, sweetheart wangu.Shem ndugu yako Niko nae kila siku vile kaamua kuvunivunjia heshima
Nimenyanyua mikono juu
From now on nalea watoto tuuu,manuu muache azurureee akichoka atarud
Kaachika toka patience123Poa kaka kipenzi.... We ni mali ya nani humu?
Ooooo h Shem acha woga![]()
![]()
![]()
All the best mamy
Hahahahah aione dada angu Linamo hii...ila nakumbuka dada angu Jimena alishatahathariza juu ya uhusiano huu..Shem usikubali aende, biashara za kuachana ninauzoefu nao ni mbaya mnooo. Linamo kanitesa sana japo ni ndoa ya Siku chache nilikondaaa, anamdomo huyooo, hadi nimrudi kwa patience123 wangu kipenzi changu, kisura wangu, my darling, sweetheart wangu.
Cc Sumbai
Ah we kwa manuu nanga zote nimetia.
Mahaba nipofushe nisione wengine zaidi ya manuu

Daah shetani mbaya!ASA unataka hata watoto wasimuone au???![]()
![]()
![]()
Yeye ni baba wa watoto wangu kama VP nawe mtotolee kamoja
Mtumish ni kweli sasa umerudiana na Patience123 wap yeye aje athibitishe kuwa toka sasa yeye na sumbai bye bye na yuko na pastor..Ooooo h Shem acha woga
Sumbai hanaUsiishie aisee tuu
Bado kidogo atahamia kwako
Mamy naanda trip tutakwenda mbugani kwa wk 1 naamini huko tutamaliza kila kitu...Love u forever..
