Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,078
Nmeshakaribia mummyPoa karibu jamvini
Nmeshakaribia mummyPoa karibu jamvini
Asante, naona mnakinukisha pande hizi..Ni poa sana
Karib
Nilikuwa job aisee hvyo nkawa nashika cm kwa kuvizia tuNzuri kabisa Jonax, Jana ukatelekeza lindo
Aiseee.....Wow!.....and finally my Sis is here!... I was missing you so much!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] I have been finding you all over the week, tell me how you are doing and what happen in those days!
Dah daaah sitaki kuamini.....kwa Hiyo upo single Siku hizi??? Watu walete proposal???Huyo ni Mali ya my lovly hubby manuu
Aiseee hivi yule mkongwe mliachana???Mie bby mpya wa manuu...
Atake astake ndio nshakua hivo.
HahahhaahaHuyu mtu pembeni tunapeana mautamu huku ananikana. Leo sikubali
Karibu bwana Jonas....Nilikuwa job aisee hvyo nkawa nashika cm kwa kuvizia tu
Ongea taratibu basiDah daaah sitaki kuamini.....kwa Hiyo upo single Siku hizi??? Watu walete proposal???
Aiseee hivi yule mkongwe mliachana???
Hahahhaaha
HahaaaOngea taratibu basi
Yes its my name.. habari yako mkuu?Karibu bwana Jonas....
Anatafuta sababu anivurugie penzi langu jipya huyuHahaaa
Mamy inaonesha wewe ni Mwingi wa habari
Hahaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Anatafuta sababu anivurugie penzi langu jipya huyu
Chezea penzi jipya we[emoji108]Hahaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Penzi jipyaaa
Wacha weeee
Hahhha.... Kawaidia dadashemej....Hahaaa
Mamy inaonesha wewe ni Mwingi wa habari
Nawe pia shemNakutakia asubuhi njema wakuu
Kiroho safiiiiHahhha.... Kawaidia dadashemej....
Nawe pia mkuuNakutakia asubuhi njema wakuu
Haya msichanaAh we kwa manuu nanga zote nimetia.
Mahaba nipofushe nisione wengine zaidi ya manuu