Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ohooo ulisikia yowee la kichaga la Amaizing yele uwiiiAnza mazoezi ya kunitambua mana hakuna namna sasa
Mamy pesa na mali zote zatoka dunian ila Mume bora hutoka kwa Bwana...Na imeandikwa ole wake yule amwachae mume kwa ajili kutafuta mali na pesa...Iko kwenye Manuu 3:4-6
YaaaaniUmeona tafsiri ya KIFARU ?
Kinaboa sana afadhali kiibiwe tu
...........

Mna mtihani simple km paper la CivicsRoho imekuuma
Safari njema mkuu kakayake lulu....Naanza safari kutoka Igunga to Dat
Morning my dada...Wifi yako yuko hapa anakusalimu chonde chonde teta naye kwa zaburi naona kama hali si hali leo?Ni kweli kabisa, siku za wiki ni nadra sana kuchelewa
Acha kuwadanganya wenzako bana,hayo mautamu tunayopeana unajisahaulisha eeValentina huu moto unawaka na wewe unamwagia petrol tena badala ya maji? Wewe nilishasema ni dada angu wa baba mkubwa na iwe hivyo sasa sawa mtoto wa baba mkubwa...
Aiseeee.....KIFARU means mtu kiherehere,kimbelembele ,mpenda sifa,mshamba,asiyejielewa,mbumbumbu,mpenda kick,mpuuzi,asiye na swaga,mzushi,msumbufu n.k
Nimetoa tafsiri coz naulizwaulizwa PM
.....................................
Tulia dawa ikuingie kijana. Two teams from United kingdom are in 16Mna mtihani simple km paper la Civics
........
Luv u so much mke wangu...![]()
![]()
![]()
yerewiiii
Kibo nkyasireee...namaliza MTU si muda mrefu![]()
![]()
![]()
![]()
Tatizo unaharibu kaka....Morning my dada...Wifi yako yuko hapa anakusalimu chonde chonde teta naye kwa zaburi naona kama hali si hali leo?

Mwambie Kifaru apunguze kutuharibia thread ......itapoteza hadhi na mvutoYaaaani![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa mtoto wa MalkiaTulia dawa ikuingie kijana. Two teams from United kingdom are in 16
Time will comeMwambie Kifaru apunguze kutuharibia thread ......itapoteza hadhi na mvuto
...........
Alidhan unatabia kama zakeHahahahahah Shemeji Valentina ni ndugu yangu kabisa huyu..
Ndio maaana hujui.... Mkuu hivi unamjua chid Benz...Nafuatilia gospel songs, niulize hillsongs, Ron kenoly, Don moen, mahlangu na wengineo, trinity, rebecca nk