Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kifaru apigwe vita anatuharibia thread inaonekana ya kijingajinga tu wkt watu tumeumiza vichwa sijui anataka aonekane ndo kapuku mkuu ni KEROAiseeee.....
Morn tuu. DadashemejMorning all
Huyo ni yule wa kule Marangu Kotela kwa bibi mkubwa yule wa shangazi ..hahaha umekumbuka sasa wife?We ndugu zako wote nawafaham
Huyo katokea upande upi
Hahahahah kuwa mpole dada unataka Wa kwako peke yako??? Forget dhatBby taratibu na huyo binti
Namimi nimekumiss kwa kweli Valentina kuna list ya majina yalikuja hapa jana ya watu waliopitwa na fagio la TCRA na jina lako lilikuwepo...Ebu niambie umerudije tena hewani kwa kasi namna hii...? teh teh
Anahasira za kuachwa na mke mpyaMorning morning ndugu yangu...Naona mtumish amekukalia kooni kweli hupumui...ahahahah
Pastor nategemea nione uhodari wako hapa katika kutengeneza ndoa hii...Sijamwita kaja mwenyewe ,anahisia kali sana
Duuuh, hapana aiseeSawa rafiki yake kifaru
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Hahahahahaha keshapigwa chini kumbe?Anahasira za kuachwa na mke mpya
Kifaru kawa superstar kumzidi KitwangaDuuuh, hapana aisee
Nikubali Nini kaka?Ila ndo nagundua uchungu wa kuchukuliwa mke ni mkali mno..maana ili amani irudi nilazima ukubali yaishe..
Mambo.....Kaka....kipenzi
Dada angu wa baba mkubwa eti kule nyumbani wanasemaje?Acha kuwadanganya wenzako bana,hayo mautamu tunayopeana unajisahaulisha ee