Makapuku Forum

Hakuna kitu kama hicho.
Kwenye maisha sio kila kitu lazima ujaribu.
Kwani ingekuwa vipi kama wangeuza halafu wasipate wanunuzi je wangeendelea??

Na ikitokea ukajaribu basi ni lazima uwe tayari kwa matokeo ya action zako.

Kuiga kufata mkumbo ndo kunakoponza watu, hao wauzaji hawamlazimishi mtu kununua watu hununua kwa mapenzi yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…