Makapuku Forum

Nasikia kweli wamezima ila utagundua kama simu yako ni ni feki pale utakapoizima maana ukiiwasha itakuwa haiwaki.... Kwahiyo kuweni makini msizizime simu na hakikisha muda wote inakuwa na chaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…