lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Nimeiona huku Kigogo ina peperusha banco limeandikwaKuna helkopta naona inazunguka na bango linalopepea mjini kati hapa...wenye taarifa zaidi watupatie...
Mambo yako vizuri kabisa brother.Kijana Wa kazi vip
Morning mkuu.Morng makapuku wenzangu.
Bro umeleta sambia?On my way back to Joto city
Muone Jimena kwa ajili ya usajiliMorng makapuku wenzangu.
Mapema sanaOn my way back to Joto city
kwani mi nilikuwa nafanyaje? au nasemaje?Si sanshare yupo
watu wanazipenda timu zao kinoma mkuuMahaba mazito sana haya, dah!
Utakuja kuipokea??? Pale ubungo...Usisahau zawadi yangu
Mpaka naona wivuwatu wanazipenda timu zao kinoma mkuu
Afadhali mkuu manaaa Hiyo profile imenichanganya kwa muda mrefu saanaHaaaahaaaa, mimi ni ME
Njema kiongozi.....njema mnoSijambo kabisa@sumbai. Habari za Mwanza
Aiseee kuna mtu namsubir mambo ya teme nianze kumpiga pesa....Powaaa....am not complaining! Mpaka mwezi wa nane mwenzangu nimeskia.
Tuma picha mkuu nasisi tufaidiKuna helkopta naona inazunguka na bango linalopepea mjini kati hapa...wenye taarifa zaidi watupatie...
Kaka!! ni vipi? is my lady occupied yet?Njema kiongozi.....njema mno