sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Njema.....Mambo yako vizuri kabisa brother.
Vipi wewe?
Una ngapi Leo....
Njema.....Mambo yako vizuri kabisa brother.
Vipi wewe?
Ukiwa ushoto hujibu pm....Gud morning Kapukuz
Karibu...bon voyage wasalimie wasambaaa....On my way back to Joto city
Unipunguzie na mimi shem!Aiseee kuna mtu namsubir mambo ya teme nianze kumpiga pesa....
Dah sijaleta mkuu...Bro umeleta sambia?
Baridi imenishinda!!Mapema sana
Ulisahau kambale nini wa kupelekea wakwe
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Aisee umezingua sasa.Dah sijaleta mkuu...
Hahaha nilikuwa bize kidogo shughuli zilinibana!!Ukiwa ushoto hujibu pm....
Karibu...bon voyage wasalimie wasambaaa....
Baridi imenishinda!!
![]()
Acha deko mtoto wa kiume ww....wenzio tumekaa huko 3 yrs na tulikuwa tunaoga maji ya kawaida tu.....dawa ya baridi ni kutafuta totoz za Kisambaa
........

Yes....jimena ni Mali yetu....she is no longer yoursKaka!! ni vipi? is my lady occupied yet?
Aiseeee.......Mimi nafunga tu sihesabu.![]()
![]()
![]()
You and who?Yes....jimena ni Mali yetu....she is no longer yours
Wakwe wazima??? Huko lushotoHahaha nilikuwa bize kidogo shughuli zilinibana!!
All.....You and who?
Mkuu inaelekea unapenda sana Sambia, njoo chukua maparachichi!!Aisee umezingua sasa.
Umeleta nini!
Hahaha...mwezi mtukufu huu![]()
Acha deko mtoto wa kiume ww....wenzio tumekaa huko 3 yrs na tulikuwa tunaoga maji ya kawaida tu.....dawa ya baridi ni kutafuta totoz za Kisambaa
........
Sijatoka kwa wakwe mkuu, nilikuwa kikazi!Wakwe wazima??? Huko lushoto
Mkuu ukifika segera yaache kwa muuza machungwa nitayafuata badaye.Mkuu inaelekea unapenda sana Sambia, njoo chukua maparachichi!!
Poa sana!!All.....
Vip lakini Kiongoz....