Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi Shambalai nilipandaga mara 1 tu kisha nikasusa 7bu likifika Mombo Wasambaa wanajazana km ng'ombe halafu wanatoa mate km mvua

.......
Si ndio wanapewa na vigoda wanakaaaaa kwenye gali....alafu shambalai vumbi saana paka ukifika mlalo

Nlipanda miaka Hiyo msambaa mmoja kaka pemben yangu kila Basi likisimama Mara kanunua indi LA kuchemsha, Mara mayai...Mara kanunua ndizi tulipofika soni alitapika saana dah
 
Manning Nice kisha yakaongezeka Dar Express ila mara nyingi nilikuwa naenda kuvizia Mombo bus zinazotoka Arusha/Moshi km nakuja Joto City 7bu sipendi kufika mchana au jioni

Halafu mademu wa Kisambaa wakali yaani weupe halafu wana mikia na sura laini ....Bitoz uvumilivu ulinishindaga huko na kile kibaridi

.........
Weupe ila mikia sio kivileeee
 
Si ndio wanapewa na vigoda wanakaaaaa kwenye gali....alafu shambalai vumbi saana paka ukifika mlalo

Nlipanda miaka Hiyo msambaa mmoja kaka pemben yangu kila Basi likisimama Mara kanunua indi LA kuchemsha, Mara mayai...Mara kanunua ndizi tulipofika soni alitapika saana dah
badf0792adcc4134ec23a348e83561b4.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom