Kwani umeisahau??Mapacha lakini twaweza kuwa 1. ,hebu nikumbushe merital status yako vile

Karibu tena...Ndio ila kitambo sanaaa
Nakumbuka sumbai alifukuzia gari but hakulikia, nikumbushe bhanaKwani umeisahau??![]()
![]()
Maning nice...Hahaha kumbe ulishawahi kukaa dochi? karibu na chuo cha IJA!!Nilikaa huko milima ya Usambara pande zaDochi & Sinza 2 yrs kuna baridi la nguvu
Umepanda Shambalai
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Lol status yangu ni ileile.Nakumbuka sumbai alifukuzia gari but hakulikia, nikumbushe bhana
Kweli wewe umekaa huku!! Mlalo mkongoroni unapajua?Sio kufika tu wenzako tumeishi huko hadi Mlalo kule juu kabisa na Oct_Nov naweza kuwepo huko kufanya mchongo
..........
Ufike salama kakakeAsante!!
Mi Shambalai nilipandaga mara 1 tu kisha nikasusa 7bu likifika Mombo Wasambaa wanajazana km ng'ombe halafu wanatoa mate km mvuaManing nice...Hahaha kumbe ulishawahi kukaa dochi? karibu na chuo cha IJA!!
AmenUfike salama kakake
Kote mdau nilikuwa naendaenda SEKOMU uwanjani pale kucheki game na kupiga penaltiKweli wewe umekaa huku!! Mlalo mkongoroni unapajua?
hahaha...ukawa unapanda gari gani?Mi Shambalai nilipandaga mara 1 tu kisha nikasusa 7bu likifika Mombo Wasbaa wanajazana km ng'ombe halafu wanatoa mate km mvua
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Mi Shambalai nilipandaga mara 1 tu kisha nikasusa 7bu likifika Mombo Wasbaa wanajazana km ng'ombe halafu wanatoa mate km mvua
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
umenifanya nicheke SanaHaya bhana, ngoja nikapigwe na baridi kidogo!!Kote mdau nilikuwa naendaenda SEKOMU uwanjani pale kucheki game na kupiga penalti
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Manning Nice kisha yakaongezeka Dar Express ila mara nyingi nilikuwa naenda kuvizia Mombo bus zinazotoka Arusha/Moshi km nakuja Joto City 7bu sipendi kufika mchana au jionihahaha...ukawa unapanda gari gani?
Maning nice...Hahaha kumbe ulishawahi kukaa dochi? karibu na chuo cha IJA!!
List ya Makapuku inaendelea hapa
Linamo
amaizing
SHIMBA YA BUYENZE
Cobblepots
Szczesny
4G LTE
shululu
Horseshoe Arch
Tetramelyz
lukesam
Ibrahim Msuya
Maradonna
Nyagei
Mr Dumila
lothrito
kagwima
phitter
Karibuni sana
Peace and love
![]()
![]()
umenifanya nicheke Sana
Cc: Youngblood