Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Nimeamka salama kabisa.Umeamkaje best?
Ulishawahi fika Lushoto?Jamani Lushoto... Nimepamiss sana
Safari njemaOn my way to Lushoto...
Asante!!Safari njema
HahaMzima mkuu wangu. Mtangulizi wangu
Heshima kwako.....
Goodmorn braza
niko poa mdogo wangu kwa patience3, umeamkaje kakaNdio ila kitambo sanaaaUlishawahi fika Lushoto?
Mapacha lakini twaweza kuwa 1. ,hebu nikumbushe merital status yako vile![]()
![]()
kwani sisi mwili mmoja??
![]()
![]()
Nilikaa huko milima ya Usambara pande zaDochi & Sinza 2 yrs kuna baridi la nguvuMorning wadau..
Cute b
Morning to you dadakeMorning all
Sio kufika tu wenzako tumeishi huko hadi Mlalo kule juu kabisa na Oct_Nov naweza kuwepo huko kufanya mchongoUlishawahi fika Lushoto?