Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Utuletee makabichi, maparachichi na sambiaUlishawahi fika Lushoto?
Utuletee makabichi, maparachichi na sambiaUlishawahi fika Lushoto?
Kumbe shambalai bado zipo mpaka Leo?Nilikaa huko milima ya Usambara pande zaDochi & Sinza 2 yrs kuna baridi la nguvu
Umepanda Shambalai
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Tisha mbayaaSio kufika tu wenzako tumeishi huko hadi Mlalo kule juu kabisa na Oct_Nov naweza kuwepo huko kufanya mchongo
..........
Safari njema kiongoziOn my way to Lushoto...
AsanteKaribu tena...
Cc youngbloodMi Shambalai nilipandaga mara 1 tu kisha nikasusa 7bu likifika Mombo Wasambaa wanajazana km ng'ombe halafu wanatoa mate km mvua
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Anajitoa fahamu tuIna maana umemsahau shemeji yako??![]()
![]()
![]()
Mkuu ukifika wasalimie saana.On my way to Lushoto...
Uliwah kukaa lushotoJamani Lushoto... Nimepamiss sana
hahaha...hukupigwa zongo?Manning Nice kisha yakaongezeka Dar Express ila mara nyingi nilikuwa naenda kuvizia Mombo bus zinazotoka Arusha/Moshi km nakuja Joto City 7bu sipendi kufika mchana au jioni
Halafu mademu wa Kisambaa wakali yaani weupe halafu wana mikia na sura laini ....Bitoz uvumilivu ulinishindaga huko na kile kibaridi
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Sawa...Karibu sana Kitivo
Haya bhana usiwaze!!Utuletee makabichi, maparachichi na sambia
Zipo za kutosha! Zilizokufa ni Mbaruku Travellers CoachKumbe shambalai bado zipo mpaka Leo?
Asante mkuuSafari njema kiongozi
Pamoja mkuu!!Mkuu ukifika wasalimie saana.
Ukifika mazashai....ukifika magamba ukifika bumbuli
Wasalimie.....miss baridi ya huko