Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Silagi hao samaki nyoka walionenepeshwa na nnyaKambale![]()
![]()
![]()
![]()
.......
poa kiacNjema
Habari yako mkuu
Ujumbe huu umfikie bitozSilagi hao samaki nyoka walionenepeshwa na nnya
Sweetie, hujawahi kula kambare?
Nimewahi babe! Ila alinishinda.Sweetie, hujawahi kula kambare?
Kwani kwenu hakuna ht ng'ombe jike?hivi humu makapuku wote wanawake ni wake za watu?
hizi salamu zenu zinanitisha asee
Njema tuu kiongozi....njema saanaUko poa?
Za mwanza
We upo timu gani....Bitoz hongera sana kwa ushindi wa jana
Kijana anataka ww3Hata huogopi kummiss mke wa mtu. Jichunge kijana
Nyakato malimbe luchelele misungwi nyegezi bwiruNjema tuu kiongozi....njema saana
Hahaha ataipataKijana anataka ww3
Nazunguka zunguka hapa Uhuru road bila ya kuona sehemuMorning sumbai, supu ya sato ushatia kinywani?
Hawa wa mjini ni shida kidogo. Uzuri wa kambare aungwe na nazi then umpikie wali ni balaaNimewahi babe! Ila alinishinda.
What a dayNi fulu balaa mkuu i can't wait...