manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Hahahaahahahah mkuu nakuona..Wewe nimiss mimi tu. Just jokes ila take care
Hahahaahahahah mkuu nakuona..Wewe nimiss mimi tu. Just jokes ila take care
Hahaha halafu anasema avatar ya mke wangu ndo inamponya nafsi yakeHahahaahahahah mkuu nakuona..
Usiwe unapotea sana shem, sipend kukaa mda mrefu bila kuiona hiyo avatar yako mkuu.. Inaniponya nafsi
nitakuwa nakuja Mara kwa Mara shem.Ukiianza hii siku vizuri, wiki nzima inakukalia poaBlue Monday hiii
I will babe!Wewe nimiss mimi tu. Just jokes ila take care
Ni kweli kabisa.Ukiianza hii siku vizuri, wiki nzima inakukalia poa
That's good, sweetieI will babe!
Niko poa kabisa,sijui za huko uliko uko poaUko poa?
Za mwanza
Hhahahahahaa Shemeji nakusalimia tu..![]()
![]()
![]()
![]()
nitakuwa nakuja Mara kwa Mara shem.
Asante shemHhahahahahaa Shemeji nakusalimia tu..
Bro unapendwa peke ako, jiamini tuIla sio kihivyo kijana
Huku kwema kabisa.Niko poa kabisa,sijui za huko uliko uko poa
Kabisa kabisa na ikibidi na mama naye unamkabidhi mguu wa kuku awe anatembea nao kwa usalama wake zaidi..Acha tu. Kila MTU alinde Mali yake