Hahaha hizo kesi aisee. Huo mguu wa kuku hapana. Ila I trust my sweetieKabisa kabisa na ikibidi na mama naye unamkabidhi mguu wa kuku awe anatembea nao kwa usalama wake zaidi..
Mhh mguu wa kuku kwa usalama wa penzi tu??Kabisa kabisa na ikibidi na mama naye unamkabidhi mguu wa kuku awe anatembea nao kwa usalama wake zaidi..
Kuna Watu mna visa sana. Hebu tuacheni basi duuuh![]()
Namuona Lizzy katoka kisimani Mabibo Beach ngoja nimzengee
.......
Nakuona umejificha kwenye kipago cha mti![]()
Namuona Lizzy katoka kisimani Mabibo Beach ngoja nimzengee
.......
Kuna Watu mna visa sana. Hebu tuacheni basi duuuh
Mhh mitihani mingine hii ni lazima tu utajikuta unamsingizia shetani aisee![]()
Namuona Lizzy katoka kisimani Mabibo Beach ngoja nimzengee nimpe kubwa
![]()
![]()
![]()
.......
[IMG]https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/042cf7290a39cdb06a79120d6cddf75a.jpg[/IMG]Nakuona umejificha kwenye kipago cha mti
Na kwa wale jamaa wakware wakware pia utatumika..Mhh mguu wa kuku kwa usalama wa penzi tu??
Hahahaaa! Kubwa gan?![]()
Namuona Lizzy katoka kisimani Mabibo Beach ngoja nimzengee nimpe kubwa
![]()
![]()
![]()
.......
Endelea tu.![]()
Bottom Of Bitoz (BOB)
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Mhh mitihani mingine hii ni lazima tu utajikuta unamsingizia shetani aisee
Haya mambo haya, unaweza kuta unampa mguu wa kuku afu kumbe ye mwenyewe ndo mkwareNa kwa wale jamaa wakware wakware pia utatumika..