shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Wale watakupa pressure bila sababuHa hahah sasa hutak kushabikia kolon master wako....kwanini??? Wakati kikosi kimekamilika
Wale watakupa pressure bila sababuHa hahah sasa hutak kushabikia kolon master wako....kwanini??? Wakati kikosi kimekamilika
bas tuendelee kusubiri....adui mwombee njaaMimi sina mke kama wewe tuu.....
Oh huko unapanda gari za mzunguko- sweya....Sweya pande zangu
Yaa unapanda sweya mzunguko afu unashukia geti kubwa kabla ujafika malimbeOh huko unapanda gari za mzunguko- sweya....
Jeuri hiyo hanaKakudanganya huyo......
IPO Siku ataanza kutoroka
Take kea
Sijakimbia ila nadhani hukuwepo enzi hizo wakati watu wanalalamika kwamba Uzi zimekuwa nyingiMkuu umenikimbia kule.....kiukweli sticky nyingi hazina ubora na zipo kiupendeleo kwa wakongwe (SIZUNGUMZII KAPUKU FORUM KUWA STICKY)
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Ha hahahhaha nimekusaidia kusemahahahaaa... mkuu naona unajisemea ww kwa niaba yangu
Nenda isamilo kuleYes mkuu....ndio naanza kuzunguuka kutafuta kampani....
SijaelewaJeuri hiyo hana
Huyo namjua tena kajiweka yy stickySijakimbia ila nadhani hukuwepo enzi hizo wakati watu wanalalamika kwamba Uzi zimekuwa nyingi
Then nakumbuka mods mpendwa alikuwa ASHA D wakafanya utaratibu ndio wakabuni Uzi kuwa stick.
Sikumbuki vigezo sahihi na stick nying ni nyuz za zamani
Ila ziliikuwa most loved threads, zilizokuwa haziish hamu
Ushindi wa jana wa Ujerumani umenifanya nichelewe kuamka!! Kitwanga sio kitu kizuri sana...Morning wakuu
Hapo supu ya sato inahusika kwa SanaMorn too
Nimefika Salama.....thanks for your prayers....
Mpendwa
Wii ulipotea. Unaendeleaje??Morning all
Utanitoroka etiSijaelewa
Mungu amesikia kilio changu![]()
Brazil OUT
Wamekalia 1:0
..........