sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Dah I miss you shemeji....Nipo sumbai
Dah I miss you shemeji....Nipo sumbai
I miss u too shemDah I miss you shemeji....
Hahaaa! Labda nione anavuliwa mtoni ndio nitakula.Hawa wa mjini ni shida kidogo. Uzuri wa kambare aungwe na nazi then umpikie wali ni balaa
Mimi nashabikia Holland, lakini hawapo nimekuwa mtazamaji tuWe upo timu gani....
Acha uoga wewe, labda wa mikoa mingine yeye mito iliyo mbali na makazi ya Watu. Pia kambare wanaishi kwenye matopeHahaaa! Labda nione anavuliwa mtoni ndio nitakula.
Sawa, nitajitahidi kula.Acha uoga wewe, labda wa mikoa mingine yeye mito iliyo mbali na makazi ya Watu. Pia kambare wanaishi kwenye matope
Ni maamuzi yako lakini love,Sawa, nitajitahidi kula.
Sawa loveNi maamuzi yako lakini love,
Ha haahaha![]()
Namuona Lizzy katoka kisimani Mabibo Beach ngoja nimzengee nimpe kubwa
![]()
![]()
![]()
.......
Kariiiiibupoa kiac
Mimi sina mke kama wewe tuu.....hivi humu makapuku wote wanawake ni wake za watu?
hizi salamu zenu zinanitisha asee
Hahahaa mimi aliniambia anapenda flat screen. Vichogo vimepitwa na wakati.Hahahaha sasa shem unataka uwe flat....screen wakati Th Name anapenda TV zenye vichogo
Yes mkuu....ndio naanza kuzunguuka kutafuta kampani....Nyakato malimbe luchelele misungwi nyegezi bwiru
Karibu kushabikia england hutajutiaMimi nashabikia Holland, lakini hawapo nimekuwa mtazamaji tu
Watoto wa malkia hapana,afadhali hata majirani zaoKaribu kushabikia england hutajutia
Kakudanganya huyo......Hahahaa mimi aliniambia anapenda flat screen. Vichogo vimepitwa na wakati.
Ha hahah sasa hutak kushabikia kolon master wako....kwanini??? Wakati kikosi kimekamilikaWatoto wa malkia hapana,afadhali hata majirani zao
Sweya pande zanguYes mkuu....ndio naanza kuzunguuka kutafuta kampani....