Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,050
Njoo hapa nyumbani hotel tuimalizie weekend mkuu.Mie niko forodhani![]()
![]()
![]()
Njoo hapa nyumbani hotel tuimalizie weekend mkuu.Mie niko forodhani![]()
![]()
![]()
Hapo sawaWako honeymoon
Sumbai yuko maeneo ya soko mjingaSumbai sijui atakuwa wapi??![]()
![]()
![]()
Hata mi nimem miss sijui mafua bado yanamsumbua?
Hapana mi sikujua kama leo jumapili
Mkuu mimi sina mambo ya ajabu kama sumbai.Usimmiss mke wa mtu tafadhali. Wewe na Youngblood siwaamini kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
Njoo Tanga mkuu.Ha hahahahah hao wabovu hapana mkuu...natka vyombo saafi
Forodhani ndio pazuriNjoo hapa nyumbani hotel tuimalizie weekend mkuu.
Juzi nimeenda hapo,pamekuwa pabaya sana.Forodhani ndio pazuri
Hata wifi yako kashindwa kukustua. Bora mumpige chini huyoHapana mi sikujua kama leo jumapili
We mwanamke unapenda sana kuvizia.Okay
51 k
Wifi ndo huwa ananikumbusha... Ila sasa ana mafua na kaka nae yuko busy kumuuguza ndio maana jumapili imepita kimya kimyaHata wifi yako kashindwa kukustua. Bora mumpige chini huyo
Kwasababu najua jinsi ya kutupia magoliWe mwanamke unapenda sana kuvizia.