Jangwani njano na raba nyeupeKidato cha tatu pale jangwani
Wako honeymoon
Orange sio njanoJangwani njano na raba nyeupe
Sampuli hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jangwani njano na raba nyeupe
Sumbai sijui atakuwa wapi??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie niko forodhani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jimena hebu piga picha jaman ya ilo eneo hapo niwekeeeeMie niko forodhani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usimmiss mke wa mtu tafadhali. Wewe na Youngblood siwaamini kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Sio orange ni chungwaOrange sio njano
Nipo Dodoma hapa.,.namtafuta Dr tulia nmsalimie kisha nisongeSumbai sijui atakuwa wapi??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaitafuta singida muda huuSumbai sijui atakuwa wapi??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo ukimshusha shipa atapa sifa maaana huko tanga Rafik yangu alienda kuchumbiwa akakataliwa kwa vile hana kabusha ka kishkaj[emoji23] [emoji23] [emoji23] atakushusha shipa walah...
Cc Sumbai
AiseeNdo maana nakuambia wewe kuwa mlokole labda mpaka utakapo zeeka[emoji23] [emoji23]
Njoo mkuu usiogopeHuko siji bwana
Uhuru hostel* [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo maeneo nayajua sana.Mi niko Uhuru hostel[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Camera sinaJimena hebu piga picha jaman ya ilo eneo hapo niwekeeee
Hapa ntakumbuka mbali