ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Tanga balaa sana,mpaka vifuu vinaongea.Youngblood kwenu mnatisha
Tanga balaa sana,mpaka vifuu vinaongea.Youngblood kwenu mnatisha
Binadamu wabaya sana.Nilikuambia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko maeneo gani mkuu.Mkuu kwani wewe umeshafika Tanga mwezi kama huu?
Magaidi hamna mkuu.Wametisha sana, ila wakienda wengi kushangaa nyakati za jioni, magaidi nao wanafanya yao
Tunalishwa matango pori kumbe,kuhusu amboniMagaidi hamna mkuu.
Kunguru hafugikiC uliwekwa ndani na muuza nyanya ww.....mbona umetoroka mapema
........
Mzima sana sijui wewe?Mzima??
Kama njaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Umetisha
Vibaya vibayaWamevurugwa
Mtakatifu shululuMimi sina[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Lol ngoja waje wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Ndo maana nakuambia wewe kuwa mlokole labda mpaka utakapo zeeka[emoji23] [emoji23]Limegomea maombi yangu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko siji bwanaTanga balaa sana,mpaka vifuu vinaongea.
Msubiri Jambilo aje alikemee hilo vampire[emoji23] [emoji23] [emoji23]Binadamu wabaya sana.
Duh!
Wa kuokokaAisee.
Wito upi tena mkuu.
Hilo nalo ni tatizoWametisha sana, ila wakienda wengi kushangaa nyakati za jioni, magaidi nao wanafanya yao
Mi niko Uhuru hostel[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uko maeneo gani mkuu.
Mimi niko hapa Uhuru park.
[emoji101] [emoji101]Tunalishwa matango pori kumbe,kuhusu amboni
Mie niko forodhani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi niko Uhuru hostel[emoji23] [emoji23] [emoji23]