Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Kaka zangu hawachepuki. Kwetu tumefunzwa kubaki njia kuuSasa we unaonaje hata nikiwa kamchepuko ka kaka ako jamani
Kaka zangu hawachepuki. Kwetu tumefunzwa kubaki njia kuuSasa we unaonaje hata nikiwa kamchepuko ka kaka ako jamani
We jimena weweKaka zangu hawachepuki. Kwetu tumefunzwa kubaki njia kuu
Cc youngblood & EMMYGUY Bila kumsahau paroko
Hapa hapa tuWe magoli unatupiaga WAP????
Jioni njemaNawatakia mchana mwema wakuu.
Tutaonana badaye.
Ameen
Habari ndio hiyoWe jimena wewe
Usinfanyie hivo banaHabari ndio hiyo
Kumbe timu nazi(wanazi)Naizungumzia timu sio hao
Ww jifanye unswajua hao TU
......
Kumbe timu nazi(wanazi)
Wakichukua Kuna mvinyo wako![]()
Lazima wajambishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Wakichukua Kuna mvinyo wako
Haina shaka![]()
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Luca Modric naona bado yuko fit ile mbayaa![]()
Ukurutu[emoji778] : [emoji637] Croatia
...........
Anatisha kuliko njaaLuca Modric naona bado yuko fit ile mbayaa