Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kiatu thoughMbona mguno?
Kiatu thoughMbona mguno?
Umefanya jambo la busara sanaaaNimeona watu wananikimbia![]()
![]()
![]()
SalaGood nyt family.....
Kesho kama kawaida nitalifungua Grup kwa maombi (sala) kisha jimena atupe magazet
Daku tuamshane pls
Asante na kwako piaUsiku mwema wanafamilia
Umeaga na post gani sasa?![]()
Usiku mwema
..........
Hebu tandika likes kila post plizNategemea siku ya leo mimi ndo niwe mlinzi wenu wa likes maana mchana nilionekana kwa nadra sanaaa.
Sasa huu ndo wakati wa kutumikia adhabu kwa kuwalindia like+posts zenu...
Amen!Wagonjwa mpone, waliudhika waamke na amani, waliokata tamaa waamke na tumaini jipya na Mungu awabariki woteee