Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi sipendi kuzunguka ndomana nimekuwa wazi na ningefurahi kama ungefanya nilivyokuomba ila pia sio kesi

Hiyo ndo fomula langu kwahiyo naomba uielewe hivyo.

Ungekuwa smart zaidi ukajiuliza kuwa mbona wengine nawapa labda ungepata majibu, na kama ujumbe huu pia uliufikisha kwa niaba ya mtu fulani hope amepata majibu ya kuridhisha.
Naomba nikutakie week end njema tu maana kwenye hili sina la ziada.
Peace and love
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, umenena yatokayo moyoni na umemalizia vizuri.
Nashauri tulitendee kazi neno hili (peace and love)
 
Mi sipendi kuzunguka ndomana nimekuwa wazi na ningefurahi kama ungefanya nilivyokuomba ila pia sio kesi

Hiyo ndo fomula langu kwahiyo naomba uielewe hivyo.

Ungekuwa smart zaidi ukajiuliza kuwa mbona wengine nawapa labda ungepata majibu, na kama ujumbe huu pia uliufikisha kwa niaba ya mtu fulani hope amepata majibu ya kuridhisha.
Naomba nikutakie week end njema tu maana kwenye hili sina la ziada.
Peace and love
Okay poa.
 
0a330b83e41b49edd94711d263efef27.jpg

Nimetupia kitu cha reply
..............
Hongera sanaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom