Sawa KapukuAhsante wadau kwa kunikaribisa kwenye hii familia I real enjoy kuwa humu najifunza vitu vingi saana
Mimi huwa na Like kila mtu kasoro tusi na kitwanga. Otherwise sina kisasi hakisaidii chochote, nafikiri tulitendee kazi lile Neno la prezdaa losemalo (one love)Sio kweli
Mimi nipo makini nawajua MAKAPUKU WOTE viburi hadi wakorofi ,mamluki & viherehere
Ukiona Bitoz halike post ya mtu fulani ujue huyo kapuku mzushi
LIKES ht bila notification bado zinaonekana ukichungulia kwenye post zako HAZIDANGANYI
...........
We Jamaa umejifanya kabishi hujatuma ile namba ya yule Wa profile....Mie mzma dadake, nafuatilia mpambano na shobo, vijembe za baadhi ya ndg zangu humu
Yawezekanaje?Ndio
Bado mnahangikia likes wakuu??? Dah haya bwanaTusizunguke kama watoto. Taja mtu anaelike kwangu kisha mi simpi
Ili tumalize Mzizi wa fitina
Sio kweli
Mimi nipo makini nawajua MAKAPUKU WOTE viburi hadi wakorofi ,mamluki & viherehere
Ukiona Bitoz halike post ya mtu fulani ujue huyo kapuku mzushi
LIKES ht bila notification bado zinaonekana ukichungulia kwenye post zako HAZIDANGANYI
...........
Kuna mambo ya ujasiliamali, siasa, mahusiano, afya kwa ujumla kuna watu wana uandishi mzur Wa kuelimisha na hata mtu akikosoa anatoa hoja za msingi hili ni darasa toshaaUmejifunza nini ati!
Punguza uongo ww......mbahili wa likes danganya wasiokujua TUMimi huwa na Like kila mtu kasoro tusi na kitwanga. Otherwise sina kisasi hakisaidii chochote, nafikiri tulitendee kazi lile Neno la prezdaa losemalo (one love)
Otherwise tunajidanganya pakiwa na like za makundi huku tuna nia ya kuupaisha uzi huu hadi basi...tubadilike tu
Barikiwa pasta.....Sitaacha kuhubiri amani, mshikamano, upendo miongoni mwetu wakuu
Mkuu mi huwa sipigi kelele bali naonesha ukauzu kwa vitendo tuBado mnahangikia likes wakuu??? Dah haya bwana
Unakosea sana, mimi sio kajamaa, usiangalie avatar pekee ukaanza ku guess, mimi ni mtu mzima mkuu, kila avatar niwekayo ina maana kubwa kwangu wew isikusumbue, ikiwa id ni fake kwanin uamini profile.We Jamaa umejifanya kabishi hujatuma ile namba ya yule Wa profile....
Hahaha hapa kuna mamboBado mnahangikia likes wakuu??? Dah haya bwana
Ha hahhaha kwanini kiongoziMimi silagi pweza mkuu.
Mi sipendi kuzunguka ndomana nimekuwa wazi na ningefurahi kama ungefanya nilivyokuomba ila pia sio kesiAisee.
Ngoja tusiongee mengi ila nadhani tumeelewana.
Mimi kwa upande wangu sifahamu mkuu.iv mtu anaweza akasoma form 5&6 kwa mwaka mmoja?
Hee we usijifanye hujui vijinaneno vya mawifiHahaha! Tupo pamoja kwa maana Nzuri.
Utajifunza zaidi na zaidi... Hapa kila kitu kipoAhsante wadau kwa kunikaribisa kwenye hii familia I real enjoy kuwa humu najifunza vitu vingi saana