Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa lakini sometimes inabidi tuwe fair ukitaka mtu alike kwako wewe pia utoe like,we unasema kuna watu hawalike kwake that's why halike lakini ukiangalia hao watu ambao hajalike post zao wamelike posts zake!....
Tunajaribu kurekebishana kwasababu mwisho wa siku hapa hakuna aliye juu zaidi ya mwenziei *wote ni sawa.*
Sio kweli
Mimi nipo makini nawajua MAKAPUKU WOTE viburi hadi wakorofi ,mamluki & viherehere
Ukiona Bitoz halike post ya mtu fulani ujue huyo kapuku mzushi
LIKES ht bila notification bado zinaonekana ukichungulia kwenye post zako HAZIDANGANYI
...........
 
Sawa lakini sometimes inabidi tuwe fair ukitaka mtu alike kwako wewe pia utoe like,we unasema kuna watu hawalike kwake that's why halike lakini ukiangalia hao watu ambao hajalike post zao wamelike posts zake!....
Tunajaribu kurekebishana kwasababu mwisho wa siku hapa hakuna aliye juu zaidi ya mwenziei *wote ni sawa.*
Tusizunguke kama watoto. Taja mtu anaelike kwangu kisha mi simpi
Ili tumalize Mzizi wa fitina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom