Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Poa sana my sissy, hali ya hewa nzuri kama ujuavyo, nambieMambo zako zinakwendaje kaka ake?
Poa sana my sissy, hali ya hewa nzuri kama ujuavyo, nambieMambo zako zinakwendaje kaka ake?
Nshaonja hao tayari mkuu na mijusi ya aina mbali. Ikikaangwa inatokelezea balaa. Sushi version ndiyo imenishinda!Huko hakuna ujanja lazima ule konokono na nyoka, vyura nk
Uko kyoto, tokyo, kumamoto au wapi mkuuNshaonja hao tayari mkuu na mijusi ya aina mbali. Ikikaangwa inatokelezea balaa. Sushi version ndiyo imenishinda!
Kasome post # 3Ivi Mimi sina vigezo vya Kuwa kapuku eh??
Hivi umeona hili baridi la Arusha leo lakini?Poa sana my sissy, hali ya hewa nzuri kama ujuavyo, nambie
Nilikosea mkuuUnasemaje kwani?
Nimefika
Nafikiria kuwaachia arusha yenu mmezoea hii baridi, japo nafurahia kuvaa coatHivi umeona hili baridi la Arusha leo lakini?
La ukweheHivi umeona hili baridi la Arusha leo lakini?
Kwema, karibu mkuu nafurahi umekuya tijariFamily Kwemaa???
Ya leo ilitumwa aise. Yani mpaka nilihisi kufrizNafikiria kuwaachia arusha yenu mmezoea hii baridi, japo nafurahia kuvaa coat
Umepona??? Mpendwa...Hello family
Hope wote mko pouwaaaa
Kwanini hujanitafuta tuigawane!Ya leo ilitumwa aise. Yani mpaka nilihisi kufriz
Jimena we twangika tuu ila usichelewe kuweka magazetiView attachment 355155
Karibuni
niko powaUmepona??? Mpendwa...
Nlikumis paka nkawa na wasiwasi
UmenenaPunguza Ukitwanga ww
![]()
![]()
![]()
........
He hee ningekutafuta yangekua mengine weweKwanini hujanitafuta tuigawane!