sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Mourinho na yy hawapatani ndio maana alipinga LVG kutimuliwaSasa namba siita ndio atacheza blind...
Kwani shneidering na bastain Si ndio namba zao hizo
Bora huyo Morgan anaweza fit katika style ya Mou. Blind pia huwa anacheza hiyo namba.Sasa namba siita ndio atacheza blind...
Kwani shneidering na bastain Si ndio namba zao hizo
Ha hahhahhh hao ndio watalii wakuuu....![]()
Hawa je?
.........
Mi nilisajili JF ID ambayo ni a.k.a inayofahamikaNimekusoma ndugu. Sometimes fake id zinatufanya tuwe huru.
Olevel nilikuwa na a.k.a nyingine ma advance nyingine ambayo nilitumia mpaka chuo
Hahaha uliogopa members wa JF hahah. Humu kuna Kila aina ya watuMi nilisajili JF ID ambayo ni a.k.a inayofahamika
Baada ya wiki 1 nikaachana nayo baada ya kugundua JF imejaa wakorofi hivyo ningeweza kutukana mtu bure
..........
Ila mogan yupo slow saana daahBora huyo Morgan anaweza fit katika style ya Mou. Blind pia huwa anacheza hiyo namba.
Labda anaweza badilikaIla mogan yupo slow saana daah
Ila akicheza kiungo dah timu inapwaya mnoo....bora acheze pembeni....Hajui km Blind ni kiungo halisi
.............
Blind fullback left anaimudu vizuri sana. Ingawa anacheza namba nyingi uwanjani. Kwa msimu huu kweli ameonesha uwezo mkubwa pale nyuma
Ndio ila ni Kiungo halisi ...Van Girl ndo alimfanya awe beki 3 world cup
........
Ngoja tuone pre-season itakuaje. Ndo itatoa mwangazaIla akicheza kiungo dah timu inapwaya mnoo....bora acheze pembeni....
Alafu kati ningependa mo atengeneze partnership ya fotumensa na smaliing
NamsubirIla usiwe na wasiwasi msubiri jimena aje....
Akija tuu shida zitakwisha....
Namuamin saana the boss..
Niko17.5Hahahh... Kwani wewe ni under 18?? Uzee unaanzia miaka 18 +
Na mie piaUmemPM Invisible nn
Na me ntabadilisha
![]()
![]()
![]()
![]()
.......

Unasemaje kwani?Namsubir
Acha ubaguzi wa rangiBenchi linamuhusuuu saana saana
Manchester hatupendi miafrika