Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kumpotezea ndio ila huyu Jamaa rafiki yangu naona anazidi kujisahau...
Mtu akitukana TUSI KUBWA AU LOLOTE ni kureport tu bila kureply

Mtu akileta shombo na mizinguo tunamkaushia tu......tunaendelea na ishu zetu hatuna habari nao
Tuna kazi za kufanya...tusihangaike nao
.......................
No shobo
No ufagio
No kick
........................
 
Naona kijana dharau zimezidi au??? Hivi unajiona weewe umesoma saana au???? Who told you kapuku ni wanafunzi??? Acha zako braza....
Nimekustah kwa vile tunafamiana..ila you always think and talk negative about this people

Kuna watu wapo hapa wana profile kubwa na wanasifa kubwa humu Jf kyliko weewe...

Behave pls
Fundi magari anajiona yuko juuu
 
Hello family

Hope wote mko pouwaaaa
516b6c9c16df0f93ea556848a04c2f1f.jpg
ec6564f393ee1d0434687454b351d9cd.jpg
4ff3ee48132d7299981c887eadedc080.jpg
558040e6bdbec6cfcd254140ea92a234.jpg
57e823e5c5055f2b8f9cf6f2350f3d6f.jpg
 
eeeh! eenhe! umeingia laini nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana mkuu sasa naona umevamia tanki la mimavi sasa ngoja unukie,najua hapo unajitegeza kwa kuwa we ni kiherehere wa wa wakongwe ambao wanajipendekeza kwa mods,kwa muda huu bora nikuache ntakukumbusha baadae nikipata muda wa kukujibu wewe jobless unaetega masikio kusikilizia wapi ambapo mtagaiwa sukari ya bure mliyohaidiwa na uncle magu kwa sasa nakuacha ila baadae ndio utanijua mimi ni nani
duh! kapukuz kwema wewe?
 
Mtu akitukana TUSI KUBWA AU LOLOTE ni kureport tu bila kureply

Mtu akileta shombo na mizinguo tunamkaushia tu......tunaendelea na ishu zetu hatuna habari nao
Tuna kazi za kufanya...tusihangaike nao
.......................
No shobo
No ufagio
No kick
........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom