lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,200
- 28,082
ShemejiHahahaa duuh nimmalize na nini, shemeji yangu huyo.
gheto??
ShemejiHahahaa duuh nimmalize na nini, shemeji yangu huyo.
gheto??
Nilienda na mme wangu.Shemejigheto??
![]()
Duuh..ulienda peke yako bhana..Nilienda na mme wangu.
Ulivyo mbishi kama ulinisindikiza vile.Duuh..ulienda peke yako bhana..
Bitoz aliniambia..Ulivyo mbishi kama ulinisindikiza vile.

Hahahaa alikuambiaje?Bitoz aliniambia..![]()
Ninawapenda na kuwaheshimu sana wanawake, ni mama, dada, shemeji,wachumba na wakeHivi Jambilo we ni ke?? Au unapenda tu kuweka avatar za kike??
Hatuwezi gombana, mimi ni mtu wa amani ndgDada sintokuamua katika ugomvi huu..hahahahah
Manuu anakosea mimi ni mtu wa amani siwezigombana nawe, na swali lako sio bayaNimeuliza tu kwa nia njema lakini
Maana JF ni kawaida mtu unaejua ni ke ukakuta ni me
Acha bhanaHahahahahah varangati lake sasa si la kitoto mto anaanza kuchombeza kumbe jamaa anamcheki tu na kidevu chote kimejaa madevu..
Nyie mbili mnaenda gheto..Hahahaa alikuambiaje?
Hahahahaa! Sio kweli. Mimi siingiagi kwenye magetoNyie mbili mnaenda gheto..
Mbona umeshupalia huyo ni mke wa swahiba angu mbona inajulikanaNyie mbili mnaenda gheto..
Jamaa anakuzinguaHahahahaa! Sio kweli. Mimi siingiagi kwenye mageto
Hahaa najua presidentJamaa anakuzingua
...........
Gheto kukutembelea???labda uwe hauna madhara!!Mbona umeshupalia huyo ni mke wa swahiba angu mbona inajulikana
Kwani akija kunitembelea kuna ubaya?
Au unaweza pichu tu
![]()
![]()
![]()
![]()
........

Sasa huyu bitoz ndo kakuanzishia leoHahahahaa! Sio kweli. Mimi siingiagi kwenye mageto

Madhara hana ndio.Gheto kukutembelea???labda uwe hauna madhara!!![]()
Sasa huyu bitoz ndo kakuanzishia leo![]()
![]()
haiwezekani