Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Umesoma usagara au galanos??Hiyo mitaa bwana dah iliikuwa tukizinguliwa shule Basi mitaa inahusika saana....
Umesoma usagara au galanos??Hiyo mitaa bwana dah iliikuwa tukizinguliwa shule Basi mitaa inahusika saana....
Mbona niliyapost asb na mapema??Pouwaa mkuu jimena....alafu Leo umesababisha nimesimama kwenye meza ya magazet mnoo
Ha haah huko ilikuwa ni kwenda kupora wadada kwetu ilikuwa 'manyani ' tuu....Dah pande za masechu* sio!
Poa brotherHongeaaaaaa mgosi..
Spain hii au nyingineFrance au Spain hao ndio mabingwa
I really miss him....dah damtanzania
Mwenye ushahidi na wanakopanga foleni atupieAisee kitu bado kimedinda,huku ni habari ya uji tu.
Poa tuVipi??
Oy iv ni neno gani saiv limesambaa mtaani kwakwo.....kwangu mimi #ni ngozi & mwendokasi
Her siyo HimI really miss him....dah damtanzania
Daaah uko faster
SukariOy iv ni neno gani saiv limesambaa mtaani kwakwo.....kwangu mimi #ni ngozi & mwendokasi
Hii itakuwa GalaxyHa haah huko ilikuwa ni kwenda kupora wadada kwetu ilikuwa 'manyani ' tuu....
Galanos ni mamende tupu.Umesoma usagara au galanos??
Nishaisahau habar hyo coz kama wiki 3 cjatumiaSukari
Thread ya mwendokasi kuliko zoteDaaah uko faster
Kitu ni mwendo kasi tu na ukilazaOy iv ni neno gani saiv limesambaa mtaani kwakwo.....kwangu mimi #ni ngozi & mwendokasi