sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Ha hhhaahhh huko tanga huko....dahNimepata chombo kipya Nahrene tupa kule.
Ha hhhaahhh huko tanga huko....dahNimepata chombo kipya Nahrene tupa kule.
[emoji15] [emoji15]Kona kali
Nenda page 1Wadau mimi ni mgeni humu jamvini naomba kupata uraia.
Aisee kitu bado kimedinda,huku ni habari ya uji tu.Vizuri sana chai inanyweka sasa au bado ni mnyoosho?
Karibu sana maeneo ya *mwembe mawazo*I miss Tanga too
Vipi??[emoji15] [emoji15]
Usiku upoje huko kwenu??? Ushakula daku kiongoziShwar kiongoz
Shwar kiongoz
Ha hhhhah.....Bitoz hunaga adabu lakini, kwanini waleta picha angu hapa!
Hapo sipafahamu ila iko siku ntakaribiaKaribu sana maeneo ya *mwembe mawazo*
Nilikuwa kifungoni[emoji41]Leo umekuja??
Pole kwa kifungoNilikuwa kifungoni[emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] machungu ya nini au hujasikia maajabu ya King huko cooa AmericaNaona machungu yamepungua umeanza kurudi polepole
Ukome kuzingua wakongweNilikuwa kifungoni[emoji41]
Ina maana umeisahau??Mmmmh....nyekundu??? Ntumie picha Yake naomba
Mkuu bado sijapataSukari umepata!
Yale uliyopata baada ya atm kunyooshwa na wanaume[emoji1] [emoji1] [emoji1] machungu ya nini au hujasikia maajabu ya King huko cooa America
Leo nimeamua kujitoaMkuu Leo umekomaa hapa had raha. Likes zako zinakimbiza jitahid
Tatizo sijaiona mpaka sahiziHuniamini mwanamke, nimekwambia sukari sio tatizo tena