Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]![]()
Champions League 2016
WINNER
.......
Wanaumeee
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]![]()
Champions League 2016
WINNER
.......
Ha hahahaha sukari INA dinda???? Dah anyway sawaSukari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa alikula ban.....ha hahaa au alimtukana ungabu??? Bin ngederw
Ngedere ana kiingereza cha matusi nae anapigwa sana banJamaa alikula ban.....ha hahaa au alimtukana ungabu??? Bin ngederw
Domo leo kawa mzur baada ya kutua man uNext season tutaheshimiana![]()
..........
Hiyo mitaa bwana dah iliikuwa tukizinguliwa shule Basi mitaa inahusika saana....Hapo hapo,kuna huyu jamaa wa magazeti hapa.
We jamaa ni balaa
France ubwete TUChampion ni France wenye golden generation
Pouwaa mkuu jimena....alafu Leo umesababisha nimesimama kwenye meza ya magazet mnooAaah basi ukipanga safari nyingine, hiyo iko nje ya uwezo wangu
France au Spain hao ndio mabingwaFrance ubwete TU
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha hahahaha sukari INA dinda???? Dah anyway sawa
Sharti ushabikie Manyau utd[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] naomba kuwa shemeji yako
Hongeaaaaaa mgosi..
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Wanaumeee
England wauza suraa usiwasahauuuFrance ubwete TU
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Domo leo kawa mzur baada ya kutua man u
Dah pande za masechu* sio!Hiyo mitaa bwana dah iliikuwa tukizinguliwa shule Basi mitaa inahusika saana....
Cc damtanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pouwaa mkuu jimena....alafu Leo umesababisha nimesimama kwenye meza ya magazet mnoo
Acha wivuDomo leo kawa mzur baada ya kutua man u