Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aisee nimewamisi makapuku wenzangu... Simu ilizngua.. Naipenda team yangu #makapuku Fc.. Hapa no stress..no bifu... no kuitwa kilaza.... Kabla hujacoment ushapewa likes zakutoshaa... !!

Kama mwanasheria wa makapuku tunaandaa muswaada wa hii thread iwe stick au tupewe jukwaa kabisa la makapuku....!

Heshima kwenu viongoz
Bitoz
Th Name
Jimena

Salamu pia kwa makapuku wote. yo all knw we're the best

Cc Jf Moderators
 
Huyu mkapuku sijui anaombea nini!!!!
vera-sidika-booty.jpg
 
Aisee nimewamisi makapuku wenzangu... Simu ilizngua.. Naipenda team yangu #makapuku Fc.. Hapa no stress..no bifu... no kuitwa kilaza.... Kabla hujacoment ushapewa likes zakutoshaa... !!

Kama mwanasheria wa makapuku tunaandaa muswaada wa hii thread iwe stick au tupewe jukwaa kabisa la makapuku....!

Heshima kwenu viongoz
Bitoz
Th Name
Jimena

Salamu pia kwa makapuku wote. yo all knw we're the best

Cc Jf Moderators
Mkuu karibu tena....

Long live kapuku forum...

Longlive
 
Good morning all.....

Another day we thanks God....
Tumuombe Mungu atubariki katika harakati za kutafuta mkate Wa kila Siku

Mungu atubariki afya njema. Mungu bariki na waliokitandani wagonjwa

Wabariki na sisi tunaotembeza bahasha zetu kila office
Wabarik walimu tarajari wanaosubir serekali kuwapangai

Bariki amani ya taifa hili Maaana weewe ndio mfalme Wa amani. Kama maandiko matakatifu yanavyosema alindae nyumba Yake bila wewe akesha bure

Bariki kapuku wote hususani wale walioadimika popote pale walipo...

Ameeen.....

Jimena shikamoo....

Nasubiri magazet...mamii
 
Morning. Mungu akuongoze na wewe Shem.
 
Amina.
Ubarikiwe sana mkuu.
 
Aisee nimewamisi makapuku wenzangu... Simu ilizngua.. Naipenda team yangu #makapuku Fc.. Hapa no stress..no bifu... no kuitwa kilaza.... Kabla hujacoment ushapewa likes zakutoshaa... !!

Kama mwanasheria wa makapuku tunaandaa muswaada wa hii thread iwe stick au tupewe jukwaa kabisa la makapuku....!

Heshima kwenu viongoz
Bitoz
Th Name
Jimena

Salamu pia kwa makapuku wote. yo all knw we're the best

Cc Jf Moderators
Karibu tena mkuu
 
Good morning all.....

Another day we thanks God....
Tumuombe Mungu atubariki katika harakati za kutafuta mkate Wa kila Siku

Mungu atubariki afya njema. Mungu bariki na waliokitandani wagonjwa

Wabariki na sisi tunaotembeza bahasha zetu kila office
Wabarik walimu tarajari wanaosubir serekali kuwapangai

Bariki amani ya taifa hili Maaana weewe ndio mfalme Wa amani. Kama maandiko matakatifu yanavyosema alindae nyumba Yake bila wewe akesha bure

Bariki kapuku wote hususani wale walioadimika popote pale walipo...

Ameeen.....

Jimena shikamoo....

Nasubiri magazet...mamii
Morning Sumbai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom