amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Mie nimeenda ibada ya kwanza shemOkay,wewe mbona hujaenda sasa.
Nimewahi ili nimuandalie pilau bata
Mie nimeenda ibada ya kwanza shemOkay,wewe mbona hujaenda sasa.
AiseeMie nimeenda ibada ya kwanza shem
Nimewahi ili nimuandalie pilau bata

kupendwa raha sana
Morning to you my shem.Morning pipozzzz
Hongera kwa kuwako kanisani.Mie nimeenda ibada ya kwanza shem
Nimewahi ili nimuandalie pilau bata
Ni nzuri braza. Mihangaiko vipi?Nipo brother habari ya jpili.
Kausha usimwambie mtu mkuu nilipiga tu mbili baridi!Mkuu umekula kitwanga????
Mambo yamekaa poa kabisa ndugu mungu anasaidia.Ni nzuri braza. Mihangaiko vipi?
Pole, mie natumia mobile version thus hiyo ishu haipo kwangu.Lkn zenu naona eawa kabisa na nimejaribu kuinstail upya app lkn tatizo haliishi
.........
Tumshukuru Mungu kwa uzima. Karibu sana braza.Mambo yamekaa poa kabisa ndugu mungu anasaidia.
Asante Bro.Tumshukuru Mungu kwa uzima. Karibu sana braza.
OKPole, mie natumia mobile version thus hiyo ishu haipo kwangu.
YeahhhKwahiyo niende Members only
PM wanaringa
.......
Asante braza kwa ujumbe mzuri.
Pamoja brotherAsante braza kwa ujumbe mzuri.
Leo nipo off kidogo, kesho kama kawaida kaka.Asante Bro.
Leo naona hujaenda.
Poa brotherLeo nipo off kidogo, kesho kama kawaida kaka.
Pamoja sana kaka.Poa brother