kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,239
- 17,677
Mzima? Happy Sunday to you!!!!!Yeahhh
Mzima? Happy Sunday to you!!!!!Yeahhh
Hasa muwe mnapendanaAisee![]()
![]()
kupendwa raha sana
sorry kaka! hivi there is no end of ukapuku? Au ndiyo mpaka mwaka uishe...
Shem bata ni balaa hasa Kwa pilauHongera kwa kuwako kanisani.
Ila nataka pilau kuku, bata wachafu.
Mpaka miaka 100 iishe.sorry kaka! hivi there is no end of ukapuku? Au ndiyo mpaka mwaka uishe...
Hahahaaa... Sawa shem, naomba mwaliko kwa jumapili ya leo nionje mchuzi wako teh tehee...Shem bata ni balaa hasa Kwa pilau
Bata mchafu nje tu kama yule kitomoto ila nyama yake uitie viungo then uikaushe na pilau pembeni ,![]()
![]()
Kuku haoni ndani,

Karibu sana Mkuu.![]()
ok!!
Yani hapa umenitonesha kidonda.Hasa muwe mnapendana
Utaona dunia yote yakwako
you too mr. hope umeamka njemaGoodmorn......
Happy Sunday
Pole shemYani hapa umenitonesha kidonda.
Karibu sana ShemHahahaaa... Sawa shem, naomba mwaliko kwa jumapili ya leo nionje mchuzi wako teh tehee...
![]()
![]()
![]()
Amina shemeji,ngoja nimsubiri labda bado hajazaliwa.Pole shem
Usijali utapata aliyotoka Kwa ubavu wako
UwiiiAmina shemeji,ngoja nimsubiri labda bado hajazaliwa.
Morning family
ooopss!! nimeipenda hiyo ya full fruits!!Karibu sana Shem
Ila leo vitwanga NO
Ni Full Fruits ,pilau na bataaaa
Karibuuooopss!! nimeipenda hiyo ya full fruits!!