Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sawa kabisamkuu kwenye pita pita zako ukikaribia hapa kijiweni kwangu usisite kunichek
Sawa kabisamkuu kwenye pita pita zako ukikaribia hapa kijiweni kwangu usisite kunichek
Shwari kaka. Za siku nyingi?Aje aje braza. Mzima wewe?
hapo ndo utawaona waumini halisi wa dini ya kiislamu lakini ngoja mwezi uishe mnagombania kitwanga pale matako bar hahaaa

Morning to you!Morning family
Tunamshukuru Mungu tupo wazima. Jumapili ikoje kwako braza?Shwari kaka. Za siku nyingi?
Kwako tuu![]()
![]()
![]()
Hii ishu ni kwangu tu au wote![]()
......