Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Huyo youngblood ana beep tuWapo
Kina youngblood wako kimya kimya zaid
Yapo mengi tu.... Weka la kwako linalokatazaAaaah
Kuna namna apo si hvi hvi
Mi uwa najitahid niwepoHuyo youngblood ana beep tu![]()
![]()
Mishe zitakuwa zimemzidi anakosa tyme ya kuja hapa
HahaaYapo mengi tu.... Weka la kwako linalokataza
Hapo sasa ndo hata mimi nisingekuelewaMi uwa najitahid niwepo
Hasa nikikumbukua kuwa upo humu
Ntaachaje kuja kwa mfano!!!
Nami ntaweka mengineHahaa
Kesho naeka
Hahahaa, nilikuwa sipendi Mtu aweke L mahali pa R and vice versa, ila saivi nimepotezea!!!Rangi mkuu sio langi

Acha uhuni wewe.
Uthimthamehe mtimue![]()
msamehe ameghafilika mkuu

Ndio ingefaa sanaYes kwavile wale sio wahalifu,
Una akili sanaMi sijaona tatizo kwenye kufukuzwa kwao.
Tatizo nimeliona pale walivyopewa masaa 24
Morning allMorning to you all