Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu wapo bize kuleta siasa hawajui kuwa vitoto vyetu vitakuja kufundisha na hao division 4
Sana sana watacheza mdako tu class
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]

Politics zta tuua hii nchi

Yaan hapana chezea kitu inaitwa elimu, Rais kawa serious kwa kweli
ndo hata Gpa zliekwa kwa siasa siasa na sympathy za kibabaishaji
 
Kuna post humu inaonyesha mwanae alipata div. 4 ya 30 lakini sasa yuko Hapo hapo UDOM
 
70451c1eba46447816cb0ea1d329f39b.jpg
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]

Politics zta tuua hii nchi

Yaan hapana chezea kitu inaitwa elimu, Rais kawa serious kwa kweli
ndo hata Gpa zliekwa kwa siasa siasa na sympathy za kibabaishaji
Kudadeeeeeki enzi zile za Mama Ndalichako akiwa NECTA wanafunzi walikuwa wanasoma na kupiga div 3 ilikuwa kwa msoto na unaheshimika
Sio akina GPA ambao hawakumbuki hata pie = 22/7
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
 
Walichokosea ni kuwafukuza ndani ya masaa 24 hakuna kingine
Hilo ni kosa la menejiment ya chuo sasa, ambao walihofia vurugu na ishu kama hzo, pia hapo naweza kuunga mkono

Ila kwa wake wenzangu na mimi walo wahi kufukuzwa chuo, chuo huwa hakikupi zaid ya masaa 24 muwe wa wili au laki 1
 
Hata ukipigwa DISCO ni kusepa fast a tu sio km sekondari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Back
Top Bottom