Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Simba Sc poverty
.......
Simba Sc poverty
Handsome Mkwere alikuwa Bishoo TU
Ngosha ananikosha
Tulia atulizwe
Bado 1View attachment 353174View attachment 353175
Kwa leo naishia hapa wakuu
Amani na upendo vitawale na muwe na siku njema
Uko poaMorning pal
Niko poa, sijui wewe?Uko poa
Namshukuru Mungu napumua. Vipi Congo DRC hukoNiko poa, sijui wewe?
Morning mke wanguAsubuh njema all
Huku hamkani si shwari pande za Goma, leo shwari kesho shari.Namshukuru Mungu napumua. Vipi Congo DRC huko
Huko Goma ni balaaHuku hamkani si shwari pande za Goma, leo shwari kesho shari.
Usimshange
Huko milio ya bunduki kila uchao.Huko Goma ni balaa
Na Watu kuchinjwa piaHuko milio ya bunduki kila uchao.