Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hana washauri wazuri. Wanafunzi siyo watu wa kugombana nao. Yaani ange-score political points za bure kwa kutatua tatizo lao mara moja KAMA KWELI NI WALE WALIOLETWA KWA AJILI YA KUMALIZA TATIZO LA WALIMU WA SAYANSI. Kama ni wengine wameingia chuoni kwa njia za panya ni haki yao kutimuliwa japo siyo kwa ukatili hivi.
Uko sahihi kaka, angetumia hekima kidogo tu tungemwona anajali watz, awamu ya 4 ilifanya makosa mengi japo hili lilikuwa na nia njema, hakupaswa kuwaadhibu, bora hata wangeamua badala ya kupewa diploma basi wapewe certificate na waongezewe miaka zaidi ili wapewe diploma au vinginevyo, kwanza kwa kuwaandaa kulikoni walivyowaadhibu kama vile wahamiaji haramu walio majambazi
 
St Mathew Secondary School

S1071/0102

F

JESCA JOHN MAGUFULI

30

IV

CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F

Hana washauri wazuri. Wanafunzi siyo watu wa kugombana nao. Yaani ange-score political points za bure kwa kutatua tatizo lao mara moja KAMA KWELI NI WALE WALIOLETWA KWA AJILI YA KUMALIZA TATIZO LA WALIMU WA SAYANSI. Kama ni wengine wameingia chuoni kwa njia za panya ni haki yao kutimuliwa japo siyo kwa ukatili hivi.
 
Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue nao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kufaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache siasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo

..........
 
Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue bao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kifaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache sasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo

Bitoz unakosea, hapa hatujadili 4, tunajadili utu wa hawa watoto walivyopuuzwa bila kujali walikuwa na daraja gani!
Hata wangekuwa na zero bado haiondoi utu wao. Mbona wahalifu wanalindwa na kupewa haki zao za msingi
 
Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue nao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kufaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache siasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo

..........
 
Bitoz unakosea, hapa hatujadili 4, tunajadili utu wa hawa watoto walivyopuuzwa bila kujali walikuwa na daraja gani!
Hata wangekuwa na zero bado haiondoi utu wao. Mbona wahalifu wanalindwa na kupewa haki zao za msingi
Utu kwenye elimu wapi na wapi....km max hazitoshi si basi
Utawala wa yule Mkwere ushapita....Sasa ni tumbua majipu tu masistaduu na matoz ambao waliona uvivu kutisua waje kitaa wauze sura
Zama za ujanjaujanja zimepitwa na wakati
.......
 
Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue nao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kufaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache siasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo

..........
Ki ukweli natafuta kosa la Rais silioni, ndo naendelea kuchunguza apa kakosea wapi labda

Naona kozi nzima hii ilikuwa ni jipu tyuuu
 
Utu kwenye elimu wapi na wapi....km max hazitoshi si basi
Utawala wa yule Mkwere ushapita....Sasa ni tumbua majipu tu masistaduu na matoz ambao waliona uvuvi kutisua waje kitaa wauze sura
Zama za ujanjaujanja zimepitwa na wakati
.......
Unaonaje km wengepewa wiki kujiandaa kuondoka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom